YESU NI JIBU

Jumanne, 18 Agosti 2015

TAARIFA ZA MSIBA MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA COSAMA KAWE AFARIKI KANISANI.

Kwa taarifa zilizofikia blog hii mkchungaji kiongozi wa kanisa la COSAMA kawe Maringo mchungaji Edith Kabeya  (mama Kabeya)amefariki dunia jumapili ya tarehe 18 August 2015 saa tano asubuhi.Bado haijafahamika chanzo cha kifo chake ila kwa taarifa zilizotufikia alikuhu akihudumu madhabahuni siku hiyo ya jumapili.
Tutaendelea kukuletea taarika kwa undani mpenzi msomaji wetu.
Kama una taarifa yeyote wasiliana nasi kwa namba 0682672828 ama whatsapp 0752834514

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni