YESU NI JIBU

Jumanne, 4 Agosti 2015

MTOTO WA MFALME ABDULLAH AL-SABAH AKUBALI KUMPOKEA YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKE.

Mwana wa mtoto wa Mfalme wa Kuwait ameacha Uislamu na kugeuka kuwa mkristo. Tukimnukulu alivyosema ni kwamba ” Wakitaka kuniuwa , waniuwe ila najuwa nitakuwa karibu na Yesu wakati nitakapokufa. Biblia inaniambia mambo mengi sana na nina uhakika kwamba Mungu atakuwa pamoja nami sana. Wakiniuwa leo kesho nitakuwa tokelezea mbele ya Yesu.
Watu wa Kuwait wana asilimia 96% ya dini ya kislamu na dini hii inatawala sana mpaka pale unapokuta kwamba sheria inayotumika hapa kuwait ni Sharia ile ya waislamu. Jiwaze mtoto wa mfalme kutamka maneno haya ujue kwamba ameona umuhimu wa kuwa na Yesu maishani Mwake.

Mungu azidi kumsaidia na kumlinda ili wengine wamfuate kwa jina la Yesu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni