YESU NI JIBU

Ijumaa, 7 Agosti 2015

MKUTANO MKUBWA MKOANI MBEYA WA KUFUNGULIWA NA KUWEKWA HURU MBALI NA MAGONJWA MBALIMBALI NA TAABU NA SHIDA ANAHUDUMU ASKOFU WA WAPO MISSION INTERNATIONAL ASKOFU gAMANYWA LEO RASMI TAREHE 7 MWEZI WA NANE 2015,MBEYA KWA YESU.

Watanzania wametakiwa kuwa makini na kufuata taratibu na mamlaka ambayo imewekwa maana katika kutii na kuifuata kuendeleaza amani na utulivu ambayo imeasisiwa na waasisi.
Akihubiri katika mkutano wa injili katika viwanja vya uhasibu mkoani mbeya amesema kuwa ni vyema kuwa makini na kusikiliza sauti ya Mungu.
Askofu Michael Peter akiteta jambo na askofu mkuu wa askofu Slyvester Gamanywa katika viwanja vya uhasibu mkoani Mbeya.
Askofu wa BCIC Mbeya askofu  nyuma mwenye miwani ni mke wa askofu mkuu Gamanywa Alhappness na kulia ni mke wa askofu Kiwele.






Waimbaji mbalimbali wakisifu katika viwanja vya uhasibu mkoani Mbeya karibu na uwanja wa zamani wa ndege.



Askofu Gamanywa akihubiri na kuombea watu waliofurika katika viwanja vya uhasibu Mbeya.








 Watu wakiombewa na askofu Gamanywa hayupo pichani.
Happy Kamili akiongoza kwa wimbo wa kuabudu katika mkutano wa injili katika viwanja vya uhasibu Mbeya

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni