YESU NI JIBU

Jumamosi, 21 Februari 2015

KIKWETE APOKEA NAFASI YA KUWA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI:

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr Jakaya Mrisho Kikwete amekabithiwa kuwa mwenyekiti mpya katika jumuiya ya Afrika mashariki jijini Nairobi nchini Kenya.
Katika kikao hicho kimewajumuisha marais wa nchi zote za jumuiya ya Afrika Mashariki.
  Mh.Uhuru Kenyatta akimpokea Mh Kikwete Jijini Nairobi
 Marais Wa Afrika Mashariki Kutoka Kushoto ni Mh.Pierre Ngurunzinza wa Burundi,Mh.Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania, Mh.Uhuru Muigai Kenyatta wa Kenya, Mh.Yoweri Museven wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda wakiwa jijini Nairobi.
 Rais Paul Kagame kulia,katikati ni rais Kikwete Na Mwenyeji wao rais Uhuru Kenyatta Kabla ya kikao kuanza.
 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akimpokea wais wa Uganda Mh. Mseven mara baada ya kuwasili.
 
Rais Wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta akimkabidhi rais wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete uwenyekiti wa Jumuia ya Afrika mashariki jijini Nairobi.
 Baadhi ya marais wa jumuiaya ya Afrika Mashariki wakiwa pamoja na makamu wa rais wa Kenya Mh.Ruto kabla ya mkutano.
 Rais Uhuru Na Pierre Ngurunzinza wakisalimiana.
Rais Uhuru Kenyatta wakisalimiana na Paul Kagame.

Uhuru Kenyatta akifuatilia kwa makini ambaye alikuwa akihutubia mkutanoni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni