ametawala kabila mmoja tu wakati yeye ni mtot wa mfalme na angetakiwa kumrithi baba yake badala yake mfanyakazi wa suleimani Yeroboamu akapata kibali ya kutawala makabili kumi na moja.
Answer:
Suleimani alimwasi Mungu na kufuata miungu mingine 1Wafalme 11:9-1na baada ya hapo mungu
alimwambia kwa sababu ya Daudi babayake mwanaye atatawala kabaila moja.
2.Ni mfalme yupi ambaye
amekataaa shauri la wazee na kufuata shauri la vijana na kuwaambia kuwa baba
yake aliwapiga kwa mijeledi lakini yeye atawapiga kwa nge atawaongezea kongwa
zito zaidi ya lile la baba yake.
Answer :Ni mfalme Rehoboamu 2nyakati
10:13-14
3. Mfalme Yupi ambaye
amezikwa katika makaburi ambayo amejichimbia katika mji wa Daudi na alikufa
katika mwaka wa ngapi wa utawala wake.
Answer: Ni
mfalme Asa aambaye alikufa katika mwaka wa 41 wa kumiliki kwake 2nyakati
16:13-14
4.Je biblia ilimaanisha nini
katika mathayo 6:24 inaposema msitumikie Mungu na mali
5.Ni kwanini Mungu
alimkataza Daudi kutojeka hekalu na badala yake alimwambia mwanaye atamjengea
na katika biblia inapatikana katika kitabu gani?
Answer:Ni
kwa sababu daudi alikuwa mtu wa vita kwa hiyo alimwaga damu nyingi katika
mikono yake(kumwaga damu nyingi na kupigana vita vikubwa) 1nyakati 22:8-10
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni