YESU NI JIBU

Alhamisi, 30 Mei 2013

NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU ZINAENDELEA KUONEKANA KATIKA MADHABAHU YA EAGT SINZA

Hakika moto wa Roho mtakatifu unaendelea kuwaka katika kanisa la EAGT Sinza kwa takribani wiki nzima ambapo mtumishi wa Mungu mchungaji Florian Katunzi ameendelea kufundisha kwa neno kufundisha neno la Mungu juu ya madhabahu.
Aidha Katunzi amewafanyia maombi na maombezi watu waliofika katika kongamano  hilo na watu wengi wamefunguliwa katika matatizo yao mbalimbali yanayowakabili katika maisha yao








Mchungaji wa kanisa la EAGT City Center kushoto mchungaji Florian Katunzi akisimama na mchungaji Emanuel mwasota katika madhabahu ya kanisa la EAGT Sinza.












 Baadhi ya viongozi wa WWI waimba wakiwa kwenye kongamano jimbo la Kinondoni












 Mwimbaji Christina Matai akiimba wimbo wake wa Raha jipe mwenyeweadiu zangu nimewasamehe bure












 Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Majestic singers wakiimba wimbo wao wa mifupa katika kanisa la Sinza




Mwimbaji wa nyimbo za injili Bitres Mwaipaja akiimba katika konga
mano la wana wake watumishi waenezao injili katika kanisa la EAGT Sinza

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni