YESU NI JIBU

Jumanne, 28 Mei 2013

WIKI YA UAMSHO EAGT SINZA KWENYE KONGAMANO LA WWI JIMBO LA SINZA









Kiukweli neno la Mungu limeonekana kuleta mageuzi na mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa roho kiasi kwamba watu wenye mataizo mbalimbali taabu shida sanjari na walioshuka kiimani wanainuliwa.

Hayo yamebainika baada ya mtumishi wa Mungu mwinjilisti ambaye pia ni mchungaji wa EAGT City Center mchungaji Florian Josephat Katunzi aliposimama na kuhubiri neno la Mungu katika kanisa la EAGT Sinza kwenye kongamano la Wanawake Waenezao injili jimbo la Kinondoni WWI ambapo alisema kuwa lazima kile ambacho adui amekiiba unaweza kurudishiwa maana lazima wenye magonjwa migogoro ya ndoa watafunguliwa.
Aidha mch.katunzi aliema kuwa ni lazima kufunguliwa katika jina la yesu haijalishi umekuwa katika matatizo mbalimbali hata kama umetumiwa majini mikosi wiki hii ni ya kufunguliwa .

Hata hivyo aliongeza kuwa kuokoka ni lazima na kuacha njia zako mbaya na kufunguliwa na kumfuata Hata hivyo aliongeza kuwa kuokoka ni lazima na kuacha njia zako mbaya na kufunguliwa na kumfuata Yesu.










Mchungaji Florian Katunzi akijiaandaa kusimama madhabahuni kwenye kongamano la WWI jimbo la Kinondoni












 Mkurugenzi wa WWI jimbo la kinondoni Sophymery Matingisa akiwa na mchungaji Katunzi














Mch.Katunzi akiwasha moto  katika kongamano la WWI




























Mchungaji Emanuel Mwasota akimsikiliza kwa makini mchungaji Katunzi akihubiri katika kanisa la EAGT Sinza














Wanawake wakishangilia katika kongamano la WWI wakati mchungaji Katunzi akihubiri












Wakinamama wakifuatilia kwa makini mafundisho ya neno la Mungu katika kongamano hilo

































 Wanawake wakimwabudu Mungu na kuomba katika kongamano hilo la WWI wakiongozwa na mchungaji Katunzi























Hakuna maoni :

Chapisha Maoni