YESU NI JIBU

Jumatano, 15 Mei 2013



Hakika ni wiki kumi na tatu za urejesho ambayo ni maombi na maombezi na kila siku ya jumapili jioni kuanzia saa tisa mchna kutafanyika maombi kwa kila mmoja atakayewasili kaitka kanisa hilo.Na hayo yote yanafanyika katika chuo cha utalii na bandari Temeke Mwembe yanga,Je unateswa na dhambi,je unateswa na magonjwa,je umetupiwa mikosi,je unasumbuliwa na madeni,je ndoa yako imekuwa mwiba.
wahudumu wakiwaombea watu mbalimbali waliofika katika ukumbu wa utalii bandari kupata maombi na maombezi kutoka kwa mchungaji Florian J.Katunzi


















 hapa chini ni mwandishi wa habari wa gazeti la jibu la maisha gazzeti la kila wiki la kikristo akifanya mahojiano na baadhi ya watu waliofika kwenye ibada ya maombi na maombezi.










Hakuna maoni :

Chapisha Maoni