YESU NI JIBU

Jumatano, 1 Juni 2016

SIKU 90 ZA MAPINDUZI NA MABADILIKO NDANI YA KANISA LA EAGT CITY CENTER WENGI WAPONA NA KUOKOLEWA KWA JINA LA YESU.

Mhungaji Kiongozi wa kanisa EAGT City Center mchungaji Florian Katunzi,
Siku tisini ndani ya kanisa la EAGT City Center yaleta mafanikio kwa kiwango kikubwa jambo ambalo limeonekana baadhi ya waumini na watu mbalimbali ambao wamefika katika kanisa hilo awmeliambia gazeti la msema kweli kuwa wamefunguliwa katika vifungo mbalimbali ambzao zimekuwa zikiwakabili kwa muda mrefu.

Akifundisha neno la MUngu ndani ya kanis ahilo siku ya tarehe 26 April mwaka huu =mchungaji katunzi ambaye ni mchungaji kiongozi wa kanisa hilo amesema kuwa katika siti tisini katika mafundisho ya maomboi ndani mwa maombo kuna masomo mbalimbali ambayo amekuwa akifundisha.
Aliongeza kuwa katika ibada ya tarehe 26 ya kuchipuka tena watu wengi wamefunguliwa maara baada ya kuanza ksoma neno la Mungu na kuanza kufundisha  na kuwakaribisha baadhi ya watu ambao walifunguliwa tangu aanzishe operationi ya maombi nda ni ya kanisa hilo.
Alisema kuwa wakati mama ambaye amejulikana kwa jina la Faith ibrahimu akitoa sadaka na kutengua mafungo aliyofungwa  akielezea yaliyomkumba  hapo ndipo zoezi la kuwafungua watu waliofungwa na nguvu za giza,kishirikina na waliokatwa katika maisha yao ya kazini ,familia na hata katika huduma.
Oparesheni hiyo ilidumu kwa muda wa saa moja na nimeona na kushuhudia wengi wakifunguliwa na kuwekwa huru katika mafungo yao ambayo walifungwa katika maisha yao na kuanza kuonesha jinsi walivyofungwa'alisema mchungaji Katunzi.
Aliongeza kuwa mpaka sasa wengi wamefunguliwa na kuwekwa huru na kuna baadhi watu walitapika pete senti 20 na shilingi kumi.
kitabu cha 1wafalme 17:7-24
Alisema mchungaji katunzi kuwa wakati wa kujifunza neno la mungu kuna watu wengi kibali chao kitarudi na elimu itafufuka tena na yale yote ambayo yamekatwa yatachipuka tena maana nguvu za Mungu zinaenda kuleta uhai tena na nguvu za giza zilizo kufunga zinaenda kufa na heshima yako inaenda kurudishwa tena.
Haijalishi kuwa umefungwa na mafungo gani ila Mungu anenda kuleta mageuzi na mapinduzi
Alitapika hela ya Swiden Ambayo imeandikwa  Carl gustaf  na shilingi kumi na pia aliweza kujifungua midoli  alisema kuwa alikuwa anteseka sana toka akiwa mtoto mdogo alipokuwa mkubwa alianza kutafuta msaa kwa waganga wa kienyeji kutaffuta msaada ndani na nje ya Tanzania.
Nilianza kuona kuwa nimekwama na sasa nimeamua kwenda kanisani na kanisa nililoingia nalo limekuwa tatizo maana kila nikifanya haiwezekana na mwisho wake nimeona kuwa badala tatizo kuondoka linaongezeka.
Maana wakati nipo kanisani nilikuwa naongea na bibi yangu usiku na alikuwa ananichukua na kunionesha dawa ya kuwatibia watu na ndipo niliamua kwennda kwa mganga Kagera na aliniambia kuwa tatizo lako ni kubwa sana hatuwezi maana una mizimu mikubwa.
Faith aliongeza kuwa alipokuwa katika kanisa hilo alilokuwepo awali alienda kubatizwa ndani ya mto ambayo linatiririka  na nilipotoka nikawa sina ufahamu na nikawa naoina mambo makubwa hata wakati nikiwepo niulikuwa naona majoka maana  wa kijani na majoka mbalimbali.
Na wakati naendelea na huduma hiyo nilikuwa nakutana na matatizo mbalimbali na mchungaji kiongozi wa kanisa hilo aliniambia kuwa atanifungulia tawi ili niweze kufanya  kazi katika tawi hilo.
Na lipokuwa nateseka niliamua kwenda EAGT  City Cente r na sasa naendelea kufunguliwa na mapaka nimetapika na kujifungua vitu vya ajabu ajabu sana.
NImeteseka sana maana nilikuwa na biashara zangu na shule ya kuwafundisha watoto wado na baada ya kujiunga na kanisa fulani malizangu zilianza kuondoka,alisema Faith kwa uchungu.

Mara baada ya hapo alisema mchungaji katunzi wale wote waliokatwa na kufungwa wanaenda kuchipuka tena maana Mungu anaenda kuwafungua wote

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni