YESU NI JIBU

Jumanne, 31 Mei 2016

WAUTU WA DINI NA MADHEHEBU MBALIMBALI WAZIDI KUFUNGULIWA NDANI YA KANISA LA EAGT CITY CENTER ILIYOPO MTONI MTONGANI JIJININ DAR ES SALAAM,

Matukio katika picha yakionesha watu walivyokuwa wakifunguliwa katika jina la Yesu mtenda miujiza.
Mungu amekuwa akimtumia mtumishi wake mchungaji Florian Josephat Katunzi katika kuwafungua wengi waliofungwa na nguvu za giza mizimu na uchawi pamoja na usghhirikina na kuwaweka huru na wengi wameshuhudia kufunguliwa kwao bila kujali dini wala madhehebu yao.

wakati wa maombi na maombezi  mwanamama Faith ambaye alikuwa katika vifungo mbalimbali alifunguliwa na kutapika  coin.

 Mtu ambaye alivunjika mkono na kwa muda mrefu haujaunga mpaka alipoamua kufika katika kanisa la EAGT City Center kwapata na kushiriki maombi na maombezi.




 Waumini wakishiriki katika maombi wakiongozwa na mchungaji Katunzi hayupo kwenye picha.

 
Mwanafunzi ambaye alifika kaanisani hapo na kuomba maombi juu ya tatizo lake la macho ambalo lilikuwa linamsumbua kiasi kwamba hata alishindwa kuendelea na masomo ila baada ya maombi na maombezi aliweza kuona na kurejea shuleni kufanya  mtihani wa kidato cha sita
 Mchungaji Katunzi akionesha Pete ambayo imetapikwa wakati wa maombi na maombezi.
 Mchungaji Katunzi akifundisha neno la kuombea waumini waliofika katika ibada.











 



 Baadhi ya coins ambazo watu baadhi ya watu walofika katika maombi na maombezi walitapika na kuwekwa huru unawweza ukashangaa na usiamini ila sasa chukua hatua fika katika kanisa la EAGT City Center na ukutane na mtumishi wa Mungui mchungaji Florrian Katunzi na utashuhudia kwa macho yako bila kuahadidhiwa maana hata tukikuwekea video unaweza pia ukawa na maswali ni vyema ukafika mwenyewe ili ujionee.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni