YESU NI JIBU

Jumatano, 1 Juni 2016

WENGI WAFIKA NA KUFUNGULIWA NA KUWEKWA HURU MBALI NA MATESO NA MAGONJWA SUGU NA NGUVU ZA PEPO WACHAFU ZAWATOKA NA KUWAAACHIA WATU WALOFIKA KANISANI HAPO.

 Waumini waliofika katika kanisa la Jesus Save Fellowship lilopo maeneo ya Airport jijini Dar es salaam washiriki katika maombi wakongozwa na mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Zakaria Oswad Lule hayupo kwenye picha.

Maombi na maombezi yakiendelea








 Mchungaji Zakaria Lule akiwaombea waumini na watu wenye shida mbalimbali waliofika kanisani hapo.










 Waumini waomba mbele za Mungu ili awafungue katika mafungo mbalimbali ambayo yanawakabili.

Mchungaji Lule akiongoza maombi na maombezi ndani ya kanisa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni