YESU NI JIBU

Jumatatu, 18 Aprili 2016

WAUMINI WAFUNGULIWA KATIKA HUDUMA YA JESUS SAVE FELLOWSHIP KWA MCHUNGAJI ZAKARIA OSWAD LULE:

 Mchungaji Zakaria akifundisha juu ya Roho mtakatifu kanisani


 waumini wakifuatilia kwa makini na kuandika juu ya somo la ujazo wa Roho Mtakatifu.



 Mchungaji Lule akiwaombea waumini juu ya ujazo wa Roho Mtakatifu mara baada ya kufundisha somo la Ujazo wa Roho Mtakatifu na wengi walifunguliwa.

 Waumini wakishiriki katika maombi na maombezi ya ujazo wa Roho Mtakatifu.
 Waliofungwa na nguvu za giza wakifunguliwa katika mateso yao ambayo walifungwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni