YESU NI JIBU

Jumapili, 10 Aprili 2016

KONGAMANO LA WANAWAKE WASIO NA WAUME NA WASICHANA AMBAO HAWAJOLEWA KATIKA UKUMBI WA CLASIC BLUE PEAL UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM:

Kongamano la wanawake ambalo limeendeshwa katika ukumbi wa classic uliopo katika jengola Blue Plaza ambapo wamehudhuria wanawake walioachana na waume zao,wale ambao waume zao walifariki na wasichana ambao hawajaolewa sambamba na kutambua na kufahamu mume au mwanaumne wa kuolewa naye.
Wakizungumaza kwa nyakati tofauti na blog hii wanawake na wasichana waliohudhuria kongamano hilo walisema kuwa wamejifunza mengii kutokana na kongamano hilo maana wamejifunza jinsi ya kufahamu na kutambua jinsi ya kuangalia na kutambua mwanaume mwaminifu na kuwa naye kama baba wa familia.
Mmoja wa mabinti ambaye amehudhuria kongamano hilo alisema kuwa amejifunza mengi kwenye kongamano hilo na kuwasihi wasichana wenzake kuwa makina na kutafakari jinsi na kufahamu mwanaume wa kuolewa naye.
Kongamano hilo limeandaliwa na Apostle Elisha Muriri ambaye ndiye kiongozi wa huduma ya Ebeneza Miracle Center iliyopo Kinondoni Studio iliyopo jijini Dar es salaam.









Apostle elisha Murili akifundisha katika kongamano la wanawake ambao hawajaolewa na wasichana pamoja na wale walofiwa na waume.



Apostle Elisha Murili akifundisha na wanawake wanainua mikono na kushangilia




Wanawake na wasichana wakifuatilia kwa makini apostle Elisha Murili akkifundisha katika kongamano hilo ambalo limefanyika kwa siku nne.
 Wanawake na wasichana wakiinua sadaka



 Washiriki wa kongamano wakifurahia neno ambalo apostle Elisha Murili alifundisha

 Apostle Elisha Muurili akiongoza maombi na maombezi kwa waumini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni