YESU NI JIBU

Jumatatu, 11 Aprili 2016

UZINDUZI WA ALBAMU YA HALELUYA WASTAHILI BWANA UMEPENDDEZA NDANI YA KANISA LA EAGT SINZA JIJINI DAR ES SALAAM.

Kwaya ya Bethlehemu iliyopo katika kanisa la EAGT Sinza linaongozwa na Askofu Dr Alphonce Mwanjala wamezindua rasmi albamu yao  inayojulikana kwa jina la haleluya wastahili Bwana.
Uzinduzi wa albamu ya kwaya hiyo imefanyika ndani ya kanisa la EAGT Sinza na kusindikizwa na kwaya ya majestic Singers kutoka EAGT Temeke,Temeke Revival  kwaya,Yes,Kwaya Next Level na Neema kwaya pamoja na waimbaji binafsi kama vile Joshua Makondeko na Afande Manoti.
 Mc Joshua makondeko akisherehesha katika uzinduzi wa Albamu ya  Kwaya ya Bethlehemu.




 Uzinduzi Tayari






 Waimbaji wa Kwaya ya Bethlehemu wakiwa katika picha ya pamoja katika mapozi tofauti tofauti,


 Zoezi la uimbaji kuanza rasmi katika uzinduzi wa albamu ya kwaya ya Bethlehemu nadni ya kanisa la EAGT Sinza jijini Dar es salaam

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni