YESU NI JIBU

Jumatano, 17 Februari 2016

MTUME BETHANIA AMBAYE KATIKA SIKU ZA NYUMBA PICHA ZAKE ZILITEMBEA NA KUZAGAA KUTOKANA NA MFANO ALIOTOA WAKATI AKIFUNDISHA SOMO LA ROHO YA MAUTI NA KUZIMU.

Mtume Bethania akijieleza wakati akihojiwa na blog hii ya amaninafuraha
Watumishi  Daniel,Briton na Briton ni Watendakazi pamoja na apostle Bethania ambao walitumika kutoa mfano wa apostle akifundisha somo la SOMO LA ROHO YA MAUTI NA KUZIMU.




Apostle Bethania akipitia gazeti la nyakati ambalo limeandika habari juu ya mfano aliyowahi kutoa kanisani na kuleta tafsiri tofauti kwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali duniani






Hao hapo juu ni watendakazi wapomoja na apostle bethania walikuwa wakitolewa mfano kanisani.


Hapo Apostle Bethania akionesha mfano jinsi  ROHO YA MAUTI NA KUZIMU inavyoweza kumvamia mtu ama mwanadamu hivyo ni vyema waumini paamoja na wachungaji wao kubebana,mfano huo umesambaa dunia nzima huku wengine wakiandika kuwa nabii aibuka Tanzania ambaye anahubiri kwa kubebwa mpaka amalize mahuburi jambo ambalo uchunguzi wa blog hii imebaini kuwa sio za kweli.
Kama unamaoni wasiliana nasi kwa namba 0682672828,

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni