Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde.
Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde akitangaza matokeo.
Na Anaseli Stanley,
Na Anaseli Stanley,
Baraza la mitihani
Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne
wa mwaka 2015
yanayoonesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa asilimia 0.80.
Akitangaza matokeo
hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde
amesema kuwa jumla
watahiniwa 272,947 sawa na 67.53% ya watahiniwa wote
waliofanya mtihani wa
kidato cha nne 2015 wamefaulu tofauti na mwaka 2014
ambapo ufaulu ulikuwa
68.33%.
Msonde amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, waliofaulu ni 240,996
Msonde amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, waliofaulu ni 240,996
sawa na asilimia 67.91
ya waliofanya mtihani, wasichana wakiwa 11,125 (64.84)
na wavulana wakiwa
124,871 (71.09).
Amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, ufaulu umeshuka kwaasilimia
Amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, ufaulu umeshuka kwaasilimia
1.85 ikilinganishwa na mwaka 2014.
Aidha kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, Dkt Msonde amesema
Aidha kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, Dkt Msonde amesema
watahiniwa 31,951 sawa
na asilimia 64.80 wamefaulu ikilinganishwa na
watahiniwa 29,162
(61.12) waliofaulu mwaka 2014.
Kwa upade wa ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa
Kwa upade wa ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa
wa shule, Msonde
amesema waliopata daraja la kwanza ni 9,816 sawa na
asilimia 2.77, daraja
la pili ni 31,986 sawa na asilimia 9.01, daraja la tatu ni
48,127 sawa na
asilimia 13.56.
Aidha waliopata daraja la nne ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 na waliopata
Aidha waliopata daraja la nne ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 na waliopata
daraja la sifuri (waliofeli)
ni 113,489 sawa na asilimia 32.09.
Watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa kati ya daraja la kwanza hadi la tatu ni
Watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa kati ya daraja la kwanza hadi la tatu ni
94,941 sawa na
asilimia 24.73 wavulana wakiwa 56,603 sawa na 29.99 na
wasichana 38,338 sawa
na asilimia 19.63.
Amesema kwa upande wa ufaulu wa masomo kwa watahiniwa wa shule, ufaulu
Amesema kwa upande wa ufaulu wa masomo kwa watahiniwa wa shule, ufaulu
wa juu kabisa ni wa
somo la Kiswahili ambapo asilimia 77.63 wamefaulu huku
ufaulu wa chini kabisa
ukiwa ni wa somo la Basic Mathematics ambapo asilimia 16.76 wamefaulu.
Matokeo hayo yamepangwa katika mfumo wa madaraja (Division) badala ya ule
Matokeo hayo yamepangwa katika mfumo wa madaraja (Division) badala ya ule
wa wasatani wa alama
(GPA) kama ambavyo iliagizwa na Waziri wa Elimu,
Sayansi, Teknolojia na
Ufundi hivi karibuni.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni