YESU NI JIBU

Jumatatu, 16 Mei 2016

WALIOFUNGWA SASA WAWEKWA HURU NDANI YA KANISA LA EAGT CITY CENTER JIJINI DAR ES SALAAM:

 Huyu ndiye mama KIriri ambaye alisimama mbele ya kanisa la EAGT City Center na kushuhudia jinsi Mungu alivyomfungua katika mafungo ya pepo wachafu
 Hapa mama Kiriri akishuhudia akishika kipasa sauti




  waumini wakifuatilia maombi kutoka kwa mchungajki Katunzi ambaye hayupo pichani.


Maombi na maombezi ya mtu mmoja mmoja ndani ya kanisa la EAGT City Center yakiongozwa na mchungaji Katunzi.
 Watu waliodondoka wakati wa maombi na kuletwa mbele kuombewa ili wafunguliwe.
 Maombi na maombezi yakiendelea
Mchungaji Rachael Katunzi ambaye ni mke wa machungaji Katunzi akizungumza juu ya binti ambaye alikuwa akiteswa na nguvu za kichawi na sasa amefunguliwa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni