YESU NI JIBU

Jumanne, 10 Mei 2016

KONGAMANO LA SIKU TISINI MAOMBI NDANI MWA MAOMBI NDANI YA KANISA LA EAGT CITY CENTER KWA MCHUNGAJI KATUNZI


Mchungaji Katunzi akifundisha neno la Mungu ndani ya kanisa la EAGT city Center katika kongamano la siku 90

Waumini wakifuatilia kwa makini maombi na maombezi yanayoongozwa na mchungaji Katunzi.



 Mchungaji Katunzi akiongoza waumini katika maombi na maombezi.



 Maombi na maombezi yakiongozwa na mchungakji Katunzi ambapo anatoa mwaongozo.




 Kusimama katika nafasi yako ya kiihuduma ili maisha yako yaende vizuri.






:Wengi wamethibitisha kufunguliwa katika maisha yako.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni