YESU NI JIBU

Jumatatu, 16 Mei 2016

CHAMA CHA WANAUME CMF TAG BUGURUNI WAJITOLEA KUFANYA USAFI NA UKARABATI KWA MCHUNGAJI WAO KIONGOZI SANJARI NA KUNUNUA VITI KWA KANISA:


Mchungaji kiongozi wa kanisa la TAG Buguruni akiwa na mke wake katika sherhr ya siku ya wanaume CMF inaadhimishwa kila mwaka katika makanisa ya TAG nchini.


Kutoka kulioa ni mwenyekiti wa CMF Buguruni ndugu Mathew Mhagama wa pili ni mchungaji kiongozi wa tatu ni katibu wa jimbo cmf na wa kwanza kutoka kushoto ni katibu wa CMF tawi la Buguruni.
Mwenyekiti wa CMF wa kwanza kulia akizungumza jambo wakati wa sherhr ya wanaume kanisani hapo TAG Buguruni.

Waumini wanafuatilia kwa makini neno la Mungu kanisani wakati wa sherehe ya wanaume.
 ama kweli huyo ni kada wa CMF tawi la Bufuruni TAG
 Wanaume wa TAG Buguruni wakimsikiliza mchungaji kiongozi hayupo pichani kwa makini.

 Wanaume wa TAG Buguruni wakiingia na viti ambazo wametoa kama zawadi kwa kanisa wakati wa kusherehekea siku yao wanaume.

 Katibu wa CMF akikabidhiwa Zawadi baada ya kuwa mwaminifu katika chama kwa muda wote na kujitoa sana kwa ajili ya kutekelea majukumu ya chama cha wanaume(CMF) kanisani hapo.

 Wanaume wa TAG Buguruni wakiwa katika picha ya pamoja na mchungaji wao kiongozi pamoja na viongozi wa chama hicho.

 Viongozi wa CMF wakiwa katika picha ya pamoja na mchungaji wao kiongozi na mama mchungaji.

 mchungaji Kiongozi wa kanisa la TAG Buguruni akiweka wakfu viti vilivyotolewa na umoja wa wanaume wa TAG Buguruni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni