YESU NI JIBU

Ijumaa, 14 Novemba 2014

UNAPAMBANA KUACHANA NA UMASKINI ILA MAMBO YANAKUWA TOFAUTI NA UNAVYOWAZA:

Ama kweli unaweza kufanya kazi kwa juuhudi kwa lengo la kujikwamua na umaskini lakini mambo yanaweza kuwa ndivyo sivyo.
Hivi karibuni huko maeneo ya Kigamboni jamaa mmoja amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya nyumba ambayo anaishi kushika moto na kikidaiwa kuwa chanzo cha moto huo ni jiko la gesi.
Hapo sasa moto ndiyo unaanza kukolea.

Huyu ndiye mtu anyesadikiwa kuwa anaishi katika nyumba hiyo ambayo imeteketea kwa moto na mali iliyokuwepo ndani.







MAONI YAKO NI YEPI TOA HAPA.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni