YESU NI JIBU

Jumatano, 25 Aprili 2012

HUDUMA YA MKURUGENZI WA SOS WAKATI ALIPOTEMBELEA KANISA LA DCT



Mwinjilisti Johanes Amriza kulia akihubiri katika kanisa la DCT huku mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Ron Swai akitafsiri






Waumini wa kanisa la DCT wakisikiliza kwa makini
mafundisho ya mwinjilist Johanes Amriza alipotembelea kanisa hilo jumapili iliyopita


waumini waliofika mbele kupata maombi na maombezi katika ibada iliyokuwa ikiongozwa na mwinjilisti Amriza katika kanisa la DCT Tabata shule

Kikundi cha kusifu na kuabudu cha kanisa la DCT wakimsifu na kumwabudu Mungu katika ibada
Baadhi ya waumini wa DCT wakisikiliza neno la Mungu kwa makini wakati mwinjilisti Amriza akifundisha ambaye hayupo pichani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni