YESU NI JIBU

Jumapili, 4 Oktoba 2015

MCHUNGAJI MTIKIA AFARIKI DUNIA KWENYE AJALI KATIKA KIJIJI CHA MSOLWA.

Mwanasiasa mkongwe na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party DP mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia kwenye ajali ya gari  iliyotokea katika kijiji cha Msolwa Chalinze mkoani pwani
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo kamanda wa polisi mkoa wa Pwani kamandaJaffar Mohamed amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo,ambapo amesema mchungaji Mtikila alikuwa akitokea mkoani Morogoro kwenda Dar es salaam akiwa na watu wengine watatu ambao wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo.

Ameongeza kuwa chanzo cha ajali hakijafahamika inaendelea kuchunguzwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni