YESU NI JIBU

Alhamisi, 29 Oktoba 2015

BAADA YA MATOKEO KAULI MBALIMBALI ZIMEANZA KUTOLEWA SASA SWALI LANGU NI JE?WATANZANIA WALIO JUU YA NINI KAMA SIO AMANI.

Mara bada ya matokeo kutangazo baadhi ya watumishi 
wmekuwa na kauli mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii na
 hapa tunakiutana na mtumishi Peter LUkuta ambaye
 amesema haya
SASA NIMETAMBUA KUMBE WATUMISHI WENGI 
WANAONGOZWA NA MIZIMU
Najaribu kuvuta picha kama ndiyo mimi niliyetabiri kuwa 
fulani ndiye atakuwa raisi dooh leo sijui ningeuficha wapi uso
 wangu dah aibu gani hii
Najiuliza maswali sijui Jumapili wanaanza anzaje makanisani
 mwao maana Biblia Yangu inaniambia Mtu akitoa unabii na 
usipotimia atakuwa Nabii wa uongo tena apigwe mawe na 
mimi leo napiga nawe manabii wa uongo =KUMBUKUMBU
 LA TORATI 18:20-22./
2WAKORINTHO 11:13-15.7

2 PETRO 2:1-3./

Hapa sina shaka tena juu wa watumishi ambao Wapo mwilini kupita hata Shetani mwenyewe hawa wamezidi kumbe 
walitoa unabii sijui kwa akili zao wakamsingizia Mungu watu 
hawa kama hawaogopi kumsingizia Mungu bila shaka hata 
kuzini hawataogopa Duh napata shida juu ya sadaka
zinazotolewa kwenye madhabahu zao sijui zinaenda kwa
 mungugani hii aibu ni kubwa kuzidi hata Ile ya Escrow
 kumbe ndiyo sababu hata waumini wao kila ninapo kutana
 nao huwa nakuta roho zingine za tofauti nashukuru sana 
Mungu mimi sikutabiri pamoja na wengi kunifwata inbox
 kutoka nitoe unabii juu ya Rasi anaye lakini sikufanya hivyo 
maana ningekuwa nimetabiri kwa kutumwa na watu kama
 walivyofanya hao wengine na sio Mungu wa kweli
Acha nisiseme sana sije wakajitoa fb nikashindwa kuwaponya

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni