YESU NI JIBU

Ijumaa, 18 Mei 2012

WATANZANIA WATAKIWA KUTUBU DHAMBI NA KUACHA UOVU WAMGEUKIE MUNGU


Watanzania wametakiwa kuacha dhambi na kumgeukia Mungu kabla Mungu hajashusha ghadhabu kali katika taifa.

Kauli hiyo imetolewa na askofu wa kanisa la end time ministry askofu Frank Kilavatitu wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam ambapo amesema Mungu amemtumwa kuwaambai watanzania watubu dhambi na kuziacha zao.

Askofu Kilavatitu amesema kuwa katika maono yake Mungu amesema amechukizwa na uovu wa Tanzania ambao umekidhiri na watanzania wasipotubu ghadhabu itafuatia ambayo ni maji ya mvua yatakayosababisha maafa makubwa kwa muda wa siku saba.

Akifafanua juu ya dhambi na uovu ambao umekidhiri juu ya taifa la Tanzania ni baadhi ya viongozi wa dini kutoa kafara ya damu na wengine kujiunga na dini ambazo zinakwenda kinyume na maadili za MunguAkifafanua juu ya dhambi na

Hata hivyo ameongeza kuwa baada ya siku saba za toba wakikaidi atapiga taifa kwa maji kama ilivyotokea kwa siku za Nuhu na watu watdhani kuwa ni kiama kumbe ni fimbo ya Mungu kwa watanzania.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni