YESU NI JIBU

Jumatatu, 1 Agosti 2016

NDANI YA KANISA LA EAGT CITY CENTER MAMBO YALIKUWA HIVI WENGI WAKISHANGILIA KWA FURAHA KATIKA IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU

Waumini wakimsifu Mungu kwa furaha.





 charles akihudumu madhabahuni wakati wa kusifu

 mmoja wa washirika wa kanisa la EAGT Center Center akimsifu Mungu pamoja na waumini wenzake.




Mchungaji Josephat Katunzi wa kanisa la EAGT City Center akishirikiana na mchungaji Michael Kulola wakishirikiana kuwaombea waumini ndani ya kanisa hilo.
wahudumu wakishirikiana kuwa beba watu walioanguka wakati wa maombi na maombezi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni