YESU NI JIBU

Ijumaa, 24 Agosti 2012

Fundi akijaribu kutafuta ufumbuzi wa umeme ambao umejitokeza wakati wa mahubiri ya neno la Mungu katika mkutano ulikuwa ukiendelea huko kwembe mbezi wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam
 Waumini wakinyoosha mikono juu wakati wa maombi na maombezi

Mwinjilisti wa Kimataifa Andulile Bwile akiwa jukwaani akihubiri neno la Mungu katika viwanja vya CCM kwembe Mbezi jijini Dar es saalam

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni