YESU NI JIBU

Jumapili, 15 Aprili 2018

BROTHERS ACADEMY IMEJIKITA KUTATUA CHANGAMOTO YA ELIMU KWA WALIOSHINDWA KATIKA MFUMO RASMI NA WALE WALIOKOSA ELIMU YA SEKONDARI

 Askofu wa kanisa la EAGT City Center askofu katunzi akitoa neno La MUNGU kwa wanafunzi walimu na baadhi ya wachungaji waliohudhuria sherehe ya kumshukuru Mungu iliyofanyika shuleni BROFOA.

 Baadhi ya wananfunzi wanaosoma masomo ya sayansi shuleni hapo wakijiandaa kufanya jaribuo ya kupima gesi ya Hydrogen na wanga wakati wa sherehe ya Kumshukuru Mungu.
 Mwalimu  Jackson Ndomishe anayefundisha masomo ya Bayolojia na Kemia akiwa na mwalimu wa Fizikia na hesabu wakifanya mija ya Jaribio la kupima gesi ya Hydrogen shuleni hapo.
 Ni wakati wa kumshukuru Mungu sasa kila mmoja ainue mikono juu.
Wanafunzi wa BROFOA wakiimba wakati wa sherehe ya kumshukuru Mungu shuleni hapo hivi karibuni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni