YESU NI JIBU

Ijumaa, 14 Aprili 2017

MATUKIO MBALIMBALI NDANI YA KUSANYIKO KUBWA LA PASAKA KUU NA JUMAMOSI AMBAPO WAIMBAJI MBALIMBALI WALIKUWEPO NA KUHUDUMU:

 neema Jakonia Chavala akiwa na mwimbaji ELifaz Belgano Bukuku Maarufu kama Supa Bukuku.

 Mwimbaji Miriam lukindo Mauki akihudumu katika kusanyiko la Pasaka liloandaliwa na WAPO RADIO FM.
 Mwimbaji Emanuel Mgaya maarufu kama (Masanja mkandamizaji) akiwa na mwimbaji Magida Timotheo.
 Mwinjilisti wa viwango George Banali akiwa na Emanuel Mgaya katika viiwanja vya wapo radio
 Askofu Slyverster Gamanywa akiwa na Emanuel Mgaya mara baada ya Msanda kuwasili katika viwanja wa wapo Radio
 Emanue Mgaya akihuduma jukwaani
 Mke wa Askofu Gamanywa wa pili kutokana Kushoto akiwa na wakinamama wenzake wa BCIC

 Waumini na watu mbalimbali waliofika katika viwanja vya wapo Redio kwenye kusanyiko la pasaka
 Emanuel Mganya wa kwanza kushoto na wa pili Costantino Pius Na silas Mbise
 Emanuel Mgaya akiimba na Silas Mbise jukwaani.
Mwimbaji  Emanuel Mgaya akiwa na askofu John Rwezaura.

 Mwinjilisti wa kimataifa Georgi Banali maarufu kama GB akitoa neno la utangulizi katika kusanyiko la Pasaka liloandaliwa na WAPO Radio

 Watu mbalimbali na waumini waliofurika katika viwanja vya wapo Radio

 Waimbaji na watangazaji wa wapo radio wakiwa katika viwanja vya wapo radio.
watangazaji wa wapo radio wakiwa wanatafakari kwa kina juu ya kusanyiko la pasaka
 Askofu John Rwezaura akifungua Kusanyiko la Pasaka liloandaliwa na Wapo redio FM.

kutoka kulia ni mke wa askofu Gamanywa Alhappynes akiwa katika kusanyiko la Pasaka
 Askofu John Rwewzaaura Akiwa na mchungaji Bernad Jomalema katika kusanyiko la Pasaka katika viwanja vya wapo radio


 Reporter wa Wapo Radio Mwanahamisi Yusufu akiwa na mwimbaji wa nyimbo za injili Magida Timotheo




 Umati wa watu waliofika katika viwanja vya WAPO RADIO kwenye kusanyiko la pasaka

Mwandishi na mtangazaji wa WAPO RADIO FM Winnifrida Munisi Akiandaa habari za kusanyiko la PAsaka
Baadhi ya waimbaji wakiimba katika kusanyiko la Pasaka

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni