YESU NI JIBU

Jumapili, 19 Julai 2015

MCHUNGAJI SICHINGA AAGWA NA WATU KUTOKA DINI ,MADHEHEBU MBALIMBALI KATIKA ENEO LA ILALA NA KUZIKWA KATIKA MAKABURI YA SEGEREA

Katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mchungaji kiongozi wa kanisa la TAG Tabata Bima Mountains Movers na pia ni katibu wa umoja wa makanisa ya kipentekoste (CPCT)  jijini Dar es salaam mchungaji Geoffrey Sichinga ulihudhuriwa na viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kuuaga mwili huo.
Neno la Mungu limehubiriwa na askofu wa jimbo la mashariki kusini na pia ni mchungaji kiongozi wa kanisa la TAG Amani Christian Center Askofu DKT Lawarence kameta alisema kuwa kuna hukumu za wanadamu na hukumu ya Mungu na katika hukumu hizo za wanadamu kunaupendeleo na kuhangana ila ya Mungu ni ya haki na kweli.

Alisema kuwa kwa hali ya kawaida wanadamu wengi wanaonewa na kukosa haki zao za msingi kutokana na hukumu ambazo wanadamu wanazitoa mara nyingi ni za kupindisha.
Moja ya Tshirt ambayo imewekwa picha ya mchungaji Sichinga.
Makamu Askofu mkuu wa TAG Askofu Magnus Muhiche akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya ofisi kuu ya TAG.

Askofu Muhiche akiwa na mke wake.


Askofu Mhiche akiteta jambo la askofu Kametta kulia.


Askofu Mhiche akifuatilia ratiba ya mazishi na askofu Kametta.
Kutoka kushoto ni Askofu wa jimbo la mshariki kaskazini DKT Lwarence Kametta akitetajambo na mmoja wa wachungaji katika ni askofu wa jimbo la mashariki kaskazini  na pia ni mchungaji kiongozi wa kanisa la TAG mabibo Sahara Spiritual Center Askofu Geofrey Masawe na kulia ni mwangalizi Ibrahimu Ashambwa


Katibu mkuu wa umoja wa makanisa ya kipentekoste Tanzania CPCT na pia ni mchungaji kiongozi wa kanisa la NAYOTH GOSPEL ASSEMBLY askofu DKT David Mwasota akiwasili katika eneo la msiba.
Askofu Geofrey Masawe kutoka kushoto akiwa na mwangalisi Ibrahim Ashambwa.

Askofu Kametta akielekeza jambo kwa mmoja wa wachungaji.

Mwinjilisti Emanuel Nicodemus akiwa katika msiba wa mchungaji Sichinga.








Kutoka kushoto ni Mchungaji Kametta wa kanisa la TAG maghorofani Tandika na wa pili ni mchungaji Geofrey Mjaki TAG Ubungo.

Baadhi ya wachungaji na maaskofu ambao wamehudhuria katika msiba.



Baadhi ya waumini ambao walihudhuria katika mazishi ya mchungaji Sichinga.
Baadhi ya waumini wakishiriki  chakula. 

Baadhi ya ndugu wakiwa katika hali ya majonzi.




Mhubiri kutoka Uganda mmoja wa mapacha wa uganda KATO ambao wamekuwa wakifanya huduma mara nyingi katika makanisa mbalimbali hapa nchini.


WAumini wakifuatilia kwa makini ratiba inayotangazwa na mtu ambaye hayupo pichani.

Askofu wa jimbo la mashariki kaskazini na pia ni mchungaji kiongozi wa kanisa la TAG Sahara  Spiritual Center Mabibo Askofu Geofrey Masawe.akitoa salamu za rambirambi.


Wakati mwili ukiwasili maeneo ya Ilala alipokuwa akiishi.

Mke wa mchungaji sichinga kulia akiwa na majozi kwa kuondokewa na mume wake.
Hapa mwili tayari umewasili. 






Ndugu wa karibu na marehemu mchungaji Sichinga wakiwa na watoto wake na mke wake.






Waumini wa kaisa la Wadventisti Ilala wakiwa na mchungaji wao ambao walishiriki katika msiba na kuimba wimbo wa faraja pia walitoa salamu za rambirambi.

Mke wa mchungaji Sabinus Mbogo katikati akiwa na waombolezaji 
















Mchungaji wa kanisa la EAGT kwa Asis Aly akitoa heshima za mwisho.





Hivi ndivyo hali ilivyokuwa wakati wa kuuaga mwili kwa kutoa heshima za mwisho.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni